WAKUU WA WILAYA WAKABIDHIANA OFISI KATIKA WILAYA YA BAHI.
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mhe. Rebecca Nsemwa ambae amehamishiwa katika Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa amemkabidhi ofisi Mhe.Joachim Thobias Nyingo ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa Kwa makabidhiano hayo Mhe. JoachimThobias Nyingo ndiye Mkuu Wa Wilaya ya Bahi na Mhe. Rebecca Nsemwa ndiye Mkuu wa Wilaya ya Kilolo.
Aidha, makabidhiano hayo yameshuhudiwa na Katibu Tawala wa Wilaya Ndugu. Mwanamvua Bakari, Mkurugenzi Mtendaji Bi. Zina M. Mlawa kamati ya ulinzi na usalama na wakuu wa taasisi mbalimbali katika wilaya hiyo.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa