Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mhe.Godwin Gondwe amefanya mkutano wa hadhara katika kijiji cha Mwitikira katika wilaya ya bahi na kusikiliza kero za wananchi mbalimbali. Mkutano huo wa hadhara uliofanyika katika shule ya sekondari Mwitikira ulihudhuliwa na viongozi mbalimbali wa wilaya akiwemo katibu tawala wa wilaya Bi Sara Ngalingasi,kamati ya ulinzi na usalama pia Mkurugenzi Mtendaji Bi Zaina Mlawa aliongoza timu ya wataalamu kutoka Halmashauri ikijumuisha wakuu wa idara na vitengo.
katika mkutano huo wananchi walitoa kero zao nakupatiwa majibu ikiwe shida ya uhabawa maji shuleni,madawati na meza na kupitia mkutano huo Viongozi wakanisa na diwani wa kata hiyo waliahidi kuto viti 100 na meza 100 diwani alihahidi viti kumi na serikali ya kijiji kupitia mtendaji wa kata waliahidi viti 7 hivyo kufanya jumla ya samani 217.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa