Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dkt. Binilith Mahenge (aliyenyoosha mkono juu) akitoa maelezo ya kuwahimiza wananchi wa Wilaya ya Bahi kulima zao la Korosho mara baada ya kutembelea kitalu maalum cha kuoteshea miche ya mikorosho kilichopo katika Kijiji cha Lamaiti Wilayani humo wakati akiwa katika ziara ya kujitambulisha tarehe 23 Novemba, 2017.
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 687748878
Simu: +255 687748878
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa