Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mhe. Rebecca Nsemwa akiambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya hiyo Bi. Zaina Mlawa wakipokea cheti cha pongezi kwa utekelezaji mzuri wa viashiria vya lishe Wilayani humo. amekabidhiwa cheti hicho na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule Agost 28, wakati wa kikao cha tathmini ya utekelezaji wa Mkataba wa lishe kwa Julai-2023 hadi Juni 2024 kilichofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Jengo la Mkapa.
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 687748878
Simu: +255 687748878
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa