Mhe. Rebecca Nsemwa ameendelea na ziara za kusikiliza kero za wananchi katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Bahi na safari hii ikiwa ni katika kata ya Ibihwa kijiji cha Mkhola. Katika ziara hiyo Mhe. Rebecca Nsemwa amewataka wananchi kuacha ukatili wa kijinsia na kuishi kwa kufauta sheria na taratibu, aidha, amewahamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura ili waweze kuchagua viongozi wanao wapenda. Pia, wananchi walihamasishwa kupeleka watoto shule kwani elimu ni muhimu kwa ustawi wa jamii.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa