• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
BAHI DISTRICT COUNCIL
BAHI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kazi na Moto
      • Afya
      • Maji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Baraza la Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mpiango
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokubaliwa
    • Miradi Inayoendelea
      • TASAF
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Kazi
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbali Mbali
    • Miongozo Mbali Mbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video Mbali Mbali
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mradi wa Maji wa Malipo ya Kabla Wazinduliwa Zanka

Imechapishwa: July 25th, 2021

Benton Nollo na Bernard Magawa, Bahi

Kiongozi wa Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2021, Luteni Josephine Mwambashi amezindua mradi wa matumizi ya TEHAMA kwenye huduma za maji safi kupitia mradi mpya wa kutumia malipo ya kabla (Pre Paid) katika Kijiji cha Zanka tarehe 25 Julai 2021.

Mradi huo unaolenga kupunguza upotevu wa maji yaliyokuwa yakipotea bila kulipiwa na kupunguza gharama za uendeshaji, umezinduliwa rasmi na kiongozi huyo baada ya kujiridhisha na utekelezaji wake.

Akizungumza baada ya kuzinduliwa kwa mradi huo Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Mwanahamisi Munkunda amemshukuru Kiongozi wa Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2021 kwa kuuzindua mradi huo ambao amesema utawapunguzia kero akinamama ambao wamekuwa wakitembea umbali mrefu kutafuta maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.

Awali, akisoma taarifa ya mradi huo kwa Kiongozi wa Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2021, Mratibu wa Mradi Mhandisi Robert Mgombela amesema mradi huo umegharimu shilingi milioni 181 hadi kukamilika kwake ambao umetekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa Benki ya Dunia kupitia Benki ya TIB na Wataalamu washauri wa Shirika Lisilo la Kiserikali liitwalo OIKOS East Africa.

“Tumekarabati vituo 11 vya kuchotea maji kwa kuweka mita za malipo ya kabla (pre-paid meter) na kufunga mashine za mfumo katika vituo vyote na tayari wananchi wameanza kununua maji kupitia kadi maalumu za kielektroniki (token) ambazo mtumiaji huingiza fedha kwa kutumia simu ya mkononi kupitia Mpesa, Tigopesa, Airtel Money na Halopesa (kwa wale wenye simu) au kupitia kwa wakala kwa wale ambao hawana simu za mkononi.” Amesema Mgombela.

Matukio katika Picha:


Matangazo

  • Tangazo la Maelekezo ya Kujiunga na Shule ya Msingi Bahi English Medium November 16, 2022
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili November 14, 2022
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili March 25, 2022
  • Tangazo la Nafasi za Kazi February 01, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Maadhimisho ya Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    April 26, 2022
  • Ndaki: Fugeni Kisasa Kuinua Pato la Taifa

    August 27, 2021
  • DC Munkunda Awaongoza Wananchi Kupata Chanjo ya UVIKO 19

    August 05, 2021
  • Mradi wa Maji wa Malipo ya Kabla Wazinduliwa Zanka

    July 25, 2021
  • Tazama Zote

Video

RC MAHENGE AZITAKA HALMASHAURI ZA JIJI LA DODOMA KUAINISHA FURSA ZA UWEKEZAJI.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tazama na Kudownload Orodha ya Walioitwa Kwenye Interview kwa Nafasi za Watendaji wa Vijiji Bahi
  • Matokeo Kidato cha Nne 2017
  • Tazama matokeo ya Darasa la saba 2019 ya shule zote za Bahi
  • Tazama na Kudownload vigezo vya Nafasi za Kazi kwa Watendaji wa Vijiji
  • Matokeo ya QT
  • 1: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • Vendor Form
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Kidato cha Pili (FTNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • OR-TAMISEMI
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Dodoma
  • Tovuti ya Ikulu

Watembeleaji wa Nje

world map hits counter

Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Bahi

    Anuani: S.L.P 2993 DODOMA

    Simu: +255 755 352 875

    Simu: +255 689 571 881

    Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa