• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
BAHI DISTRICT COUNCIL
BAHI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kazi na Moto
      • Afya
      • Maji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia na Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Baraza la Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mpiango
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokubaliwa
    • Miradi Inayoendelea
      • TASAF
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Kazi
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbali Mbali
    • Miongozo Mbali Mbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video Mbali Mbali
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

OR-TAMISEMI Yatoa Ajira za Walimu 4,840

Imechapishwa: July 17th, 2018

Na Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo ametangaza ajira za Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari zipatazo 4840 ikiwa ni sehemu ya kibali cha ajira cha kuajiri walimu 6840.

Akitangaza ajira hizo katika Ofisi Ndogo za Wizara zilizopo Magogoni Dar es salaam Mhe. Jafo alisema katika kibali hicho kilichotoka Mei 30,2018 kilitoa nafasi ya kuajiri walimu 4785 wa Shule za Msingi, 55 Mahitaji Maalumu na  2000 ni Walimu wa Sekondari wanaofundisha masomo ya sayansi kwenye shule za Sekondari ambao mchakato wake bado unaendelea.

Akizungumza katika kikao na waandishi wa habari Mhe. Jafo amesema kuwa “Walimu tunaotangaza vituo vyao vya kazi leo ni wale waliotuma maombi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mwezi Desemba, 2017 na Walimu 2767 walipangiwa vituo vya kazi mwezi Januari 2018 na hawa tunaotangaza leo ni miongoni mwa walimu wenye sifa waliokosa nafasi kwa kipindi hicho cha mwaka 2017”.

Pia amewataka walimu wote waliopata nafasi kuripoti katika vituo vyao vya kazi kuanzia tarehe 23 Julai, 2018 hadi tarehe 7 Agosti 2018  wakiwa na vyeti halisi vya Taalumu vya Kidato cha Nne/Sita, vyeti halisi vya mafunzo ya ualimu katika ngazi husika pamoja na  cheti halisi cha kuzaliwa.

Aidha Waziri Jafo ametoa maelekezo Maalumu kwa Walimu wote waliopangiwa vituo vya kazi kuwa Vituo vya kazi vya walimu hao ni katika shule za msingi na sekondari na sio Makao Makuu ya Halmashauri na mwajiriwa yeyote atakayeripoti na kuchukua posho ya kujikimu kisha akaondoka katika kituo chake cha kazi alichopangiwa Serikali itamchukuliwa hatua kali kwa mujibu wa Sheria.

Alisisitiza kuwa hakuna mwalimu atakayekubadiliwa kubadilishiwa kituo kwa sababu yeyote ile na kila mwajiriwa aatakayeshindwa kuripoti katika kituo chake kwa muda uliopangwa nafasi zao zitachukuliwa na Walimu wengine 5,220 wenye sifa ambao  bado wamekosa nafasi za ajira katika awamu hii.

Orodha ya majina ya Walimu waliopangiwa katika Vituo vya Kazi kwenye Shule za Msingi na Sekondari yanapatika kwenye Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi www.bahidc.go.tz.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO May 07, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI May 02, 2025
  • Mikopo ya Hazina Kwa Watumishi wa Umma October 27, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU (Limetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 8(1) February 20, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • DC JOACHIM NYINGO AKABIDHI VIFAA VYA SHULE VYA MILIONI 5.3

    May 06, 2025
  • MWENGE WAZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA BILIONI MOJA MILIONI MIA TANO KUMI NA SABA LAKI NANE ELFU MIASITA THEMANINI NA NANE NUKTA SITA.(TSH.1,517,414,684.63) KATIKA WILAYA YA BAHI.

    April 25, 2025
  • MKOA WA DODOMA WAPOKEA RASMI MWENGE WA UHURU 2025.

    April 20, 2025
  • KARUME DAY

    April 07, 2025
  • Tazama Zote

Video

Jinsi ya kuomba uhamisho kwenye mfumo wa Utumishi
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tazama na Kudownload Orodha ya Walioitwa Kwenye Interview kwa Nafasi za Watendaji wa Vijiji Bahi
  • Matokeo Kidato cha Nne 2017
  • Tazama matokeo ya Darasa la saba 2019 ya shule zote za Bahi
  • Tazama na Kudownload vigezo vya Nafasi za Kazi kwa Watendaji wa Vijiji
  • Matokeo ya QT
  • 1: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • Vendor Form
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Kidato cha Pili (FTNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • NECTA
  • Mfumo wa uhamisho kwa watumishi,Mikopo na Kupata Salary Slips
  • Utumishi
  • OR-TAMISEMI
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Dodoma

Watembeleaji wa Nje

world map hits counter

Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitengo cha Ugavi na Manunuzi

    Anuani: S.L.P 2993 DODOMA

    Simu: +255 762077589

    Simu: +255 762077589

    Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa