Timu ya Utawala ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi (Council Management Team CMT) imetembelea Miradi Mbalimbali maendeleo inayotekelezwa katika Wilaya hiyo. Miradi hiyo nikama ifuatatavyo
1.Uzio katika nyumba ya Mkurugenzi
2.ukamilishaji wa hospital ya Wilaya
3.zahanati ya Nagulo Bahi
4.ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje OPD na jengo la mama na Mtoto -Nguji(Mundemu)
5.kisima Cha ndege,ujenzi wa shule mpya ya secondary
6.Tinai-Msisi, ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje OPD na jengo la mama na Mtoto
7.Lamaiti, ukamikishaji wa boma la darasa shule ya msingi lamaiti
8.Chonama-Makanda, ujenzi wa madarasa 3 na vyoo matundu ma 3
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa