Bi. Imakulata Masigati akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (ambapo kwa niaba ya Mhe. Rais shukrani hizo zilipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Mhe. Elizabeth Kitundu) ambapo kupitia serikali yake ameipatia Wilaya ya Bahi shilingi milioni 500 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa Kituo cha Afya Bahi pamoja na kuboresha huduma ya maji katika Mji wa Bahi.
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 687748878
Simu: +255 687748878
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa