• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
BAHI DISTRICT COUNCIL
BAHI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kazi na Moto
      • Afya
      • Maji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Baraza la Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mpiango
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokubaliwa
    • Miradi Inayoendelea
      • TASAF
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Kazi
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbali Mbali
    • Miongozo Mbali Mbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video Mbali Mbali
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Elimu Msingi

Wilaya ina jumla ya madarasa 71 ya elimu ya awali kati ya lengo la madarasa 72. Shule ya Msingi Kigwe Viziwi haina darasa la awali kwa kuwa mfumo wao kwa wanafunzi hao huendeshwa kwa hatua ya I, II na III kabla ya kuanza darasa la kwanza. Lengo la uandikishaji mwaka kwa 2017 ni kuandikisha wanafunzi 10,378 (wasichana 5,255 na wavulana 5,123). Wanafunzi walioandikishwa ni  8,473 wakiwa ni wasichana 4,288 na wavulana 4,185  sawa na asilimia 81.64.

Elimu ya Msingi:

Jumla ya shule za msingi zilizopo ni 72 zenye wanafunzi wa darasa la kwanza   hadi la saba wapatao 31,564 kati yao wasichana ni 16,534 na wavulana ni 15,030.  Walimu waliopo ni 654 (wanaume 351 na wanawake 281) sawa na  65% ya mahitaji ambayo ni walimu 1006. Aidha kuna Waratibu Elimu Kata 22, (wanaume 20 na wanawake 2).

Elimu ya MEMKWA:

Wilaya inavyo vituo 12 vya Mpango wa Elimu ya Msingi Kwa Walioikosa ambavyo vina jumla ya wanafunzi 478 kati yao wavulana ni 292 na wasichana ni 186   

Elimu ya MUKEJA:

Wilaya ina vituo 51 vya MUKEJA ambavyo vina jumla ya wanakisomo 1,491.  Kati yao 890 ni wanawake na wanaume ni 601.

Katika kipindi cha 2015/2016 hakuna nyumba za walimu zilizojengwa, vyumba 5 vya madarasa na matundu 48 ya vyoo yamejengwa kupitia nguvu za wananchi, fedha za ruzuku ya kuimarisha serikali za mitaa na wafadhili mbalimbali.

Matangazo

  • Tangazo la Kikao Maalum cha Baraza la Madiwani Kujadili Mpango na Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi kwa mwaka wa fedha 2021/2022 February 10, 2021
  • Tangazo la Kikao cha Baraza la Madiwani January 27, 2021
  • Tangazo la Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2021 Wilaya ya Bahi December 18, 2020
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi za Kazi za Mtendaji wa Kijiji Daraja la III November 02, 2020
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Mabati 780 Yanunuliwa, Mfuko wa Jimbo

    February 12, 2021
  • Baraza la Madiwani Lapitisha Bajeti ya Shilingi Bilioni 25

    February 12, 2021
  • Watakaonunua Ardhi, Wenye Leseni za Madini Ujenzi Kuchangia Elimu

    January 29, 2021
  • Mfuko wa Jimbo Kusaidia Ujenzi wa Madarasa, Zahanati

    January 28, 2021
  • Tazama Zote

Video

RC MAHENGE AZITAKA HALMASHAURI ZA JIJI LA DODOMA KUAINISHA FURSA ZA UWEKEZAJI.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tazama na Kudownload Orodha ya Walioitwa Kwenye Interview kwa Nafasi za Watendaji wa Vijiji Bahi
  • Matokeo Kidato cha Nne 2017
  • Tazama matokeo ya Darasa la saba 2019 ya shule zote za Bahi
  • Tazama na Kudownload vigezo vya Nafasi za Kazi kwa Watendaji wa Vijiji
  • Matokeo ya QT
  • 1: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • Vendor Form
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Kidato cha Pili (FTNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • OR-TAMISEMI
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Dodoma
  • Tovuti ya Ikulu

Watembeleaji wa Nje

world map hits counter

Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Bahi

    Anuani: S.L.P 2993 DODOMA

    Simu: +255 26 2961400

    Simu: +255 766 643 266

    Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa