Sunday 8th, September 2024
@OFISI YA MKUU WA WILAYA
Leo tarehe 20/08/2024 yamefanyika makabidhiano ya ofisi kati ya Mhe.Gifti Msuya na Mhe.Rebecca Sanga Msemwa,makabidhiano hayo yamefanyika kutokana na mabadiriko yaliyofanywa na Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya tarehe 14/08/2024 ambapo katika mabadiriko hayo Mhe.Rebecca Sanga Msemwa alihamishiwa Wilaya ya Bahi akitokea Wilaya ya Morogoro na Mhe.Gift Msuya alihamishiwa Wilaya ya Pangani akitokea Wilaya ya Bahi.
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 687748878
Simu: +255 687748878
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa