• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
BAHI DISTRICT COUNCIL
BAHI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kazi na Moto
      • Afya
      • Maji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia na Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Baraza la Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mpiango
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokubaliwa
    • Miradi Inayoendelea
      • TASAF
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Kazi
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbali Mbali
    • Miongozo Mbali Mbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video Mbali Mbali
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

AFISA ELIMU MKOA (REO) AFANYA ZIARA NA KUWEKEANA MIKAKATI NA WALIMU WA SEKONDARI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI.

Imechapishwa: January 18th, 2024

Afisa Elimu Mkoa ndugu Vicent kayombo akiwa na timu ya maafisa taaluma mkoa amefanya ziara leo tarehe 18/01/2024 nakuongea na Maafisa Elimu kata, Wakuu wa Shule na Walimu wa shule za sekondari.

Katika kikao hicho ambacho kilifunguliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bi. Zaina Mlawa ambapo aliwashihi walimu kusikiliza kwa makini maagizo na maelekezo yatakayotolewa na Afisa Elimu Mkoa na kuyafanyia kazi ili tuweze wilaya iweze kupata matokea mazuri katika elimu ya sekondari.

Afisa Elimu mkoa ndugu vicent kayombo alianza kwa kuipongeza Halmashauri ya Wilaya Bahi kwa kufanya vizuri katika ufaulu wa elimu msingi kwa kupata asilimia 97 na kuongoza matokoe hayo kwa mkoa wa Dodoma pia kipekee alimpongeza mkurugenzi mtendaji wa wilaya hiyo Bi.Zaina Mlawa na afisa elimu msingi ndugu bonifasi William kwa kufanya ufuatiliaji wa karibu katika eneo hilo la elimu msingi.

Afisa Elimu Mkoa ndugu Vicent Kayombo alitoa maelekezo yafuatayo kwa Maafisa Elimu kata,Wakuu wa Shule na Walimu wa shule za sekondari

  • Walimu kupata chakula shule ili waweze kufanya kazi katika muda wa ziada (remidial time).
  • Walimu kutoa kazi za nyumbani (home-work) kwa wanafunzi ili kuwaweka bize na kazi wakati wote wanapokua nje ya mzingira ya shule na homework hizo zifanyiwe marejeo/masahihisho asubuhi saa moja asubuhi.
  • Wanfunzi walioko katika vidato vya mitahani waingie darasani saa moja kamili asubuhi.
  • Shule zote kuunda bandi na kufanya mchakamchaka kupitia walimu wa michezo na kuimba nyimbo zote za kizalendo.
  • Walimu wawe karibu na wanafunzi wate na kuwajua uwezo wao na kuona namna ya kuoboresha mapungufu hayo.

Kikao hicho kilicho anza saa sita kamili mchana na kukamilika saa 9:30 alasiri na walimu walishukuru kwa maelekezo yaliyotolewa na kuahidi kuyafanyia kazi kwa ukamilifu.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO May 07, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI May 02, 2025
  • Mikopo ya Hazina Kwa Watumishi wa Umma October 27, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU (Limetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 8(1) February 20, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • DC JOACHIM NYINGO AKABIDHI VIFAA VYA SHULE VYA MILIONI 5.3

    May 06, 2025
  • MWENGE WAZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA BILIONI MOJA MILIONI MIA TANO KUMI NA SABA LAKI NANE ELFU MIASITA THEMANINI NA NANE NUKTA SITA.(TSH.1,517,414,684.63) KATIKA WILAYA YA BAHI.

    April 25, 2025
  • MKOA WA DODOMA WAPOKEA RASMI MWENGE WA UHURU 2025.

    April 20, 2025
  • KARUME DAY

    April 07, 2025
  • Tazama Zote

Video

Jinsi ya kuomba uhamisho kwenye mfumo wa Utumishi
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tazama na Kudownload Orodha ya Walioitwa Kwenye Interview kwa Nafasi za Watendaji wa Vijiji Bahi
  • Matokeo Kidato cha Nne 2017
  • Tazama matokeo ya Darasa la saba 2019 ya shule zote za Bahi
  • Tazama na Kudownload vigezo vya Nafasi za Kazi kwa Watendaji wa Vijiji
  • Matokeo ya QT
  • 1: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • Vendor Form
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Kidato cha Pili (FTNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • NECTA
  • Mfumo wa uhamisho kwa watumishi,Mikopo na Kupata Salary Slips
  • Utumishi
  • OR-TAMISEMI
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Dodoma

Watembeleaji wa Nje

world map hits counter

Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitengo cha Ugavi na Manunuzi

    Anuani: S.L.P 2993 DODOMA

    Simu: +255 762077589

    Simu: +255 762077589

    Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa