Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Charles Kiologwe akieleza dhima ya Serikali ya Mkoa wa
wa Dodoma kuendesha huduma ya Hospitali Tembezi kwa ajili ya kuwasogezea Wananchi huduma
za Madaktari Bingwa. Wilaya ya Bahi imezindua zoezi la Hospitali Tembezi tarehe 16 Oktoba, 2017
na litafanyika kwa siku 7.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa