Halmashauri ya Wilaya ya Bahi imepokea msaada Mahindi ya msaada tani 8.1 na Mahema makubwa 4 kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu kwa ajili ya kaya 174 za Kijiji cha Zejele zilizokumbwa na Maafa ya mvua mnamo tarehe 03.03.2024.
Msaada huo umepokelewa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bi. Joyce Manyanda na Mratibu wa TASAF wa Wilaya Bw.Hamis Jumaa Mfuko.
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 687748878
Simu: +255 687748878
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa