Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi anatangaza uwepo wa fedha kwa ajili ya kuvikopesha vikundi vya Wanawake ,Vijana na watu wenye Ulemavu ambapo jumla ya shilingi 63,751,119/= zimetengwa katika robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/2025 Hivyo vikundi vyenye sifa vinakaribishwa kuleta maombi katika ofisi za serikali ya kijiji zilizopo katika maeneo yenu.
Kuona kama una sifa za kuomba Mikopo hii pakua nyaraka hapo chini.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa