Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi wa Mawasiliano Ikulu tarehe 05 Novemba 2020, uteuzi wa Prof. Kilangi unaanza tarehe 05 Novemba 2020.
Prof. Kilangi ameteuliwa kushika wadhifa huo kwa kipindi cha pili baada ya kipindi cha kwanza kumalizika tarehe 05 Novemba 2020.
Pichani ndiye Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Prof. Adelardus Lubango Kilangi aliyeteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 05 Novemba 2020.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa