Imechapishwa: August 20th, 2025
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bahi (William D. Mpangala) akabidhi Fomu ya ugombea Ubunge kwa Mgombea wa Chama Cha DP Bi Adela Mathias Jacobo katika ofisi za Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Bahi....
Imechapishwa: August 20th, 2025
Tarehe 20 Agosti 2025 Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bahi (William D. Mpangala) akabidhi Fomu ya ugombea Ubunge kwa Mgombea wa Chama cha TLP ndugu, Toy Issack Job....
Imechapishwa: August 19th, 2025
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bahi (William D. Mpangala) akabidhi Fomu ya ugombea Ubunge kwa Mgombea toka chama cha Demokrasia Makini (Salma Hassan Bakari) ....