Imechapishwa: November 12th, 2020
Wabunge wamemchagua Mhe. Dkt. Tulia Ackson kuwa Naibu Spika wa Bunge la 12 la Tanzania.
Akitangaza matokeo hayo mara baada ya uchaguzi kufanyika, Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai alisema kuwa Dkt. Tu...
Imechapishwa: November 12th, 2020
Spika wa Bunge la 12 la Tanzania, Job Yustino Ndugai amesema wabunge wamemthibitisha Mbunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, Kassim Majaliwa Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzan...
Imechapishwa: November 10th, 2020
Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 12, umeanza kwa kumchagua Mbunge wa Jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, Mhe. Job Yustino Ndugai (Mb) kuwa Spika wa Bunge hilo kwa kura 344 kati ya kura 345 zilizopigwa sawa na...