Imechapishwa: September 4th, 2019
Mahakama Kuu ya Gauteng imeamuru kuachiwa kwa ndege ya Serikali ya Tanzania inayosimamiwa na Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyokuwa imezuiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo,...
Imechapishwa: July 15th, 2019
Benton Nollo na Alinikyisa Humbo
Watendaji wa Kata na Vijiji wilayani Bahi wamepongezwa kwa kusimamia vema ukusanyaji wa mapato baada ya kuvuka malengo ya makusanyo kwa mwaka wa fedha 2018/2019.
...
Imechapishwa: July 10th, 2019
Benton Nollo na Alinikyisa Humbo, Bahi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Said Jafo (Mb), amefurahishwa na kuupongeza uongozi wa Wilaya ya Bahi kwa jinsi ...