Imechapishwa: November 4th, 2020
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo tarehe 04 Novemba 2020 amekagua maandalizi katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma ambao utatumika kwa sherehe za kuapishwa kwa Rais ...
Imechapishwa: November 4th, 2020
Kesho tarehe 05 Novemba 2020 wakazi wa Mkoa wa Dodoma watashuhudia historia mpya ikiandikwa ambapo kwa mara ya kwanza tangu Tanzania ipate uhuru mwaka 1961, sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya...
Imechapishwa: November 2nd, 2020
Rais mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ally Hassan Mwinyi ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Zanzibar ambaye pia atakuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa Awamu ya Nane.
Dkt. Mwinyi amekula kiapo kati...