Imechapishwa: June 10th, 2024
Halmashauri ya wilaya ya Bahi inajiandaa kupokea Mwenge kwa mwaka 2024 ambapo Mwenge wa Uhuru utapokelewa 04/07/2024 ambapo utapokelewa Mzogole na kukesha katika eneo la Bahi Misheni na kukabidhiwa ka...
Imechapishwa: May 31st, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bi. Zaina Mlawa amepokea zana mbalimbali za kilimo kutoka (Action for Hunger), zana hizi zimelenga katika kuboresha kilimo cha bustani katika shule...
Imechapishwa: April 3rd, 2024
Katibu tawala mteule wa Mkoa wa Dodoma Bw.Kaspar K. Mmuya amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi na kuzungumza na watumishi mbalimbali,katika ziara hiyo ambayo ulifunguliwa na Mkurugenzi ...