Imechapishwa: May 14th, 2025
fisa Mwandikishaji wa Jimbo la Bahi Ndugu.William Dastan Mpangala awaapisha Waandishi wasaidizi na Bvr Kit Operators ambao watashiriki katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kidumu la Mpiga Kura awa...
Imechapishwa: May 6th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Joachim Nyingo tarehe 06 Mei 2025 amekabidhi vifaa vya Shure, Vitambaa , madaftari ,mashati ya shule zenye thamani ya shilingi
Milioni tano laki tatu ishirini na...
Imechapishwa: April 25th, 2025
Mwenge Wa Uhuru kwa Mwaka 2025 Ulipokelewa Jana tarehe 25/04/2025 kutoka Kondoa na kuingia katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi tarafa ya Mundemu,kata ya Babayu na Kijiji cha Kongogo ambapo ulikimbizw...